AC Milan Zlatan Ibrahimovic - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ibrahimovic Atarejea Kuvaana na Roma?

Daily News

Kuna matumaini kuwa nyota wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic ataweza kurejea dimbani Juni 28. Atakuwa tayari kuzama dimbani dhidi ya Roma Jumapili ijayo. Staa huyu anatarajia kufanyiwa uchunguzi mwingine na …

Zlatan Kuchelewa Kurejea Dimbani

Daily News

Kulikuwa na wasi wasi mkubwa juu ya kurejea dimbani mapema kwa mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic, baada ya kuripotiwa kupata jeraha la enka katika ripoti za awali Jumatatu. Hata …

Zlatan ana mkosi? Chukua Hizi

Football

Mark Hughes aliwahi kuichezea Wales na Bayern Munich kwa siku mmoja Hughes aliposini kama mchezaji wa Bayern alitakuwa kuichezea Wales dhidi ya Czechoslovakia, Prague katika kufuzu Euro ’88. “Nilipata chakula cha …

Sanamu ya Ibrahimovic Yatambulishwa Rasmi!

Football

Sanamu ya aliyekuwa nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic imetengenezwa kwenye mji aliozaliwa. Mashabiki wengi walijitokeza kushuhudia kutambulishwa rasmi kwa sanamu hiyo Jumanne. Sanamu hii inatajwa kutengenezwa na msanii wa …

Ibrahimovic Azungumzia Kusepa LA Galaxy!

Football

Zlatan Ibrahimovic ameamua kuzungumza tena kuhusu habari ya kusepa klabuni LA Galaxy kufuatia tetesi zinazomuhusisha yeye na klabu ya AC Milan. Nyota huyu amesisitiza kuwa yeye hatasepa klabuni hapo.Kupitia ukurasa …

Mkurugenzi Asema Ibrahimovic Hatarejea Milan

Football

Mkurugenzi wa michezo wa AC Milan, bwana Leornardo amesema legendary wa Soka aliyewahi kukipiga klabuni hapo bwana Zlatan Ibrahimovic hatakuwa akirejea kipindi hiki. Nyota huyu anayekipiga La Galaxy alikuwa akihushwa …

Ibrahimovic Anena Kuhusishwa na Milan

Football

Mshambuliaji wa La Galaxy Zlatan Ibrahimovic amezungumzia taarifa za kuhusishwa kwake na Inter Milan kama tetesi tuu, lakini alivyobanwa kuzungumzia madai hayo kama ni ya uongo ameshindwa kuyakataa. Imeripotiwa kuwa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya

Daily News

Tetesi zinasema, wachezaji wa Tottenham Hotspur wanapoteza uvumilivu kwa Jose Mourinho huku wakinyooshea kidole na kusisitiza kuwa hawako vizuri kupambana na changamoto za nne bora.  Tetesi zinasema, tamaa ya Boris …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Liverpool itafanya mazungumzo na Fulham mwezi huu kuhusu mkataba kwaajili ya mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 Fabio Carvalho, huku wakitaka kufikia makubaliano kabla ya msimu ujao. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Barcelona wanapanga kumnunua winga wa Chelsea na Marekani Christian Pulisic, 23, mlinzi wa Ujerumani Antonio Rudiger, 28, na mlinzi wa pembeni wa Uhispania Cesar Azpilicueta, 32. Leeds …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester City wako tayari kulipa pauni milioni 130 kwa ajili ya mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 27, na wamesalia kuwa na matumaini kwamba wanaweza kusaini …

Serie A: Lukaku Atungiwa Wimbo

Daily News

Wimbo mpya umetolewa uliowekwa maalum kabisa kwa mkali wa Inter Milan, Romelu Lukaku baada ya ushujaa wake na mchango mkubwa katika ushindi wa Scudetto (taji la Serie A). Wimbo huo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Barcelona bado haijampatia ofa mpya Lionel Messi, 33, ambaye mkataba wake na klabu hiyo ya Uhispania unakamilika msimu huu wa joto. Mazungumzo kati ya mshambuliaji wa Barcelona na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema kuna uwezekano mkubwa Cristiano Ronaldo, 36, akarejea tena Manchester United kuliko Madrid akiamua kuondoka Juventus msimu huu. Nyota wa NBA LeBron James ameungana na Fenway Sports Group, ambayo …

1 2 3 4 5 6 7 8