Christian Eriksen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Leicester City imeonesha nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Watford na England Nathaniel Chalobah, 26, siku ya mwisho ya usajili. Tetesi zinasema Liverpool imefanya mazungumza na beki …

Ibrahimovic Aliomba Radhi – Pioli.

Daily News

Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic. Alijikuta akiambulia kadi nyekundu na kuigharimu timu hiyo kwenye mchezo dhidi ya Inter Milan. AC Milan walichuana na Inter Milan kwenye mchezo wa Coppa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Leicester City wameacha mpango wao wa uhamisho kwa ajili ya kiungo wa kati wa Inter Milan Christian Eriksen, 28, kwasababu mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark anataka …

PSG Wanasubiri Jibu la Dele Alli!

Daily News

Paris Saint-Germain wanaripotiwa wanatarajia kupata uamuzi wiki hii kuhusu ofa yao kwa kiungo wa Tottenham Hotspur Dele Alli. Alli ameshindwa kumshawishi vyema meneja Jose Mourinho, ambaye anaona mchezaji huyo ni …

Pochettino Kutua PSG na Wawili

Daily News

Ni suala la muda tu kwa Mauricio Pochettino kutangazwa kama mrithi wa Thomas Tuchel kunako klabu ya PSG. Baada ya PSG kusitisha mkataba wake na Tuchel usiku wa kuamkia Siku …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Manchester United ina matumaini ya kumsajili winga wa England Jadon Sancho, 20, kutoka Borussia Dortmund kwa kima cha chini ya pauni milioni 100 mwaka huu. Tetesi zinasema …

Usajili: Fununu Zinapamba Moto 2021!

Daily News

Tukiwa tunahesabu siku chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Januari 1, 2021. Fununu zinaendelea kushika kasi!!! Fununu za usajili zinasema Arsenal wanapanga kumpeleka Mesut Ozil Juventus kwa mkataba …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United imemuongeza mlinzi wa Brighton Ben White kwenye orodha ya wachezaji wa beki wa kati wanaowataka. Paris St-Germain wanajiandaa kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari wa kiungo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Pep Guardiola anataka Manchester City kumsajili Jack Grealish, baada ya kubaini kiungo huyo wa kati wa Aston Villa na England, 25, kama kipaumbele chake katika mipango yake ya …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Arsenal imesaidiwa katika harakati zake za kumsajili kiungo wa kati wa Uturuki Yusuf Yazici baada ya ajenti wake kukiri kwamba mchezaji huyo huenda akaondoka katika klabu ya Lille. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Liverpool Mario Balotelli amefanya mazungumzo na timu ya Championi ya Barnsley. Muitalia huyo mwenye umri wa miaka 30 , yuko huru …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United wamewasilisha rasmi dau la kumnunua Cristiano Ronaldo kwa ajenti wake katika jaribio la kumsajili mshambuliaji huyo wa Portugal kutoka Juventus. Mabingwa hao wa Serie A wako …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester City itaweza kumsajili kiungo mchezeshaji kutoka Barcelona, Muargentina Lionel Messi, 33, msimu ujao kama fursa hiyo itajitokeza. Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, raia wa Norway striker Erling Haaland, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United itapaswa kulipa kiasi cha pauni milioni 18.5 pekee ikiwa wanataka kumsajili winga wa Real Madrid na Wales Gareth Bale, 31. Tetesi zinasema Tottenham inataka kumpata mshambuliaji …

1 2 3 4 5 6 7