AC Milan Zlatan Ibrahimovic - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Real Madrid wako tayari kumuuza Raphael Varane, 27 kwa Manchester United baada ya mchezaji huyo kukataa kusaini mkataba mpya uwanjani Bernabeu. Gareth Bale, 31 amesema ataishinikiza Real madrid …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Inter Miami inataka kuwasajili wachezaji wawili wa zamani wa timu ya taifa ya England Ryan Shawcross, 33, kutoka Stoke City na beki Kieran Gibbs, 31, wa West Brom. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema  kocha cha Tottenham, Jose Morinho anasubiri muda unaofaa kufungua mazungumzo ya kuongeza mkataba na mshambuliaji wa korea kusini Heung-min Son ambaye mkataba wake unakamilika 2023. Majeraha ya beki …

Pioli: Tusherehekee Tumekua Sasa.

Daily News

Stefano Pioli alipongeza ukomavu uliyooneshwa na wachezaji wake wa Milan licha ya kukosekana kwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic aliyeumia. Milan ilipata ushindi bila wa 2-1 dhidi ya Sampdoria bila Ibrahimovic, ambaye …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Baba yake Lionel Messi ameiambia Paris St-Germain kwamba mshambuliaji huyo wa Barcelona na Argentina, 33, anataka kujiunga na Manchester City. Messi alimpigia simu kocha wa Manchester City Pep …

PSG Yamshukuru Mkongwe Thiago Silva.

Bundesliga

Paris Saint-Germain imemshukuru “moja ya wachezaji wakubwa” katika historia yao kufuatia kuondoka kwa Thiago Silva ingawa mlinzi huyo hatarajii kuwa bila klabu kwa muda mrefu. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi mwishoni mwa wiki amewasiliana na meneja wa Man City, Pep Guardiola na kumfahamisha kwamba anataka kuondoka Barcelona. Manchester City inaweza kuwatoa mabeki wake …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Aston Villa itatangaza dau £30m la kumnunua mshambuliaji wa Celtic Mfaransa Odsonne Edouard, 22. Beki wa safu ya kati wa Lille raia wa Brazil Gabriel Magalhaes, 22, amekubali …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Real Madrid inaamini kuwa mshambuliaji Kylian Mbappe ,21, atakuwa na mazungumzo nao kuhusu uhamisho kutoka Paris St-Germain. Liverpool ina mpango wa kumuuza beki wake Dejan Lovren,31, ingawa anatafuta …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Inter Milan wanafikiria kumnunua kiungo wa kati, Mfaransa N’Golo Kante huku Blues wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya kumuuza mchezaji huyo wa Ufaransa, 29. Zenit St Petersburg …

Tetesi za Soka Barani Ulaya

Champions League

Klabu ya Everton imejaribu kufanya mawasiliano na Mino Raiola juu ya mteja wake, Zlatan Ibrahimovic kutaka kuangalia upatikanaji wake na kama wanaweza kumnasa nyota huyo mbali na kuwepo kwa uvumi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya

Champions League

Gareth Bale ameanza kuhusishwa kwenye mipango ya Jose Mourinho ambaye anatamani kumrejesha nyota huyo kikosini hapo baada ya kukabidhiwa rungu la kukinoa kikosi hicho. Kwake Bale anaonekana kwamba kama ataamua …

1 2 3 4 5 6 7 8