Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Tetesi zainasema, Liverpool wanapanga kumpatia mkataba mpya mchezaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane, 30. Mkataba wa sasa wa mshambuliaji huyo unamalizika baada ya msimu ujao. Tetesi zinasema, Liverpool …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Tetesi zainasema, Liverpool wanapanga kumpatia mkataba mpya mchezaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane, 30. Mkataba wa sasa wa mshambuliaji huyo unamalizika baada ya msimu ujao. Tetesi zinasema, Liverpool …
Barcelona wameripotiwa kuwa wamerejesha nia yao ya kutaka kumnunua mshambuliaji wa kati wa Inter Milan Lautaro Martinez. barcelona-warejesha-nia-yao-na-lautaro-martinez Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amekuwa katika kiwango kizuri na …
Tetesi zinasema, Paris St-Germain imempatia mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, kitita cha euro milioni 150 kwa misimu miwili ili abaki klabuni hapo. Tetesi zinasema, Manchester United imetuma mawakala kumuangalia …
Tetesi zinasema, Liverpool inamtaka winga wa Villarreal na Uholanzi Arnaut Danjuma, 25, kuchukua nafasi ya mshambuliaji Sadio Mane, lakini Liverpool haina mpango huo kwa sasa hadi mwaka 2023. Kama …
Mshindi wa taji la Ballon d’Or kwa mwanasoka bora wa kiume na wa kike duniani sasa ataamuliwa kutokana na matokeo yake katika msimu mmoja badala ya kalenda ya mwaka …
Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester United na Ureno Cristiano Ronaldo, 37, amefanya mazungumzo na wakala wake Jorge Mendes kuhusu hatma yake Old Trafford. Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Bayern Munich …
Tetesi zinasema, meneja wa Paris St-Germain, Mauricio Pochettino, ambaye amekuwa akihusishwa kutua katika klabu ya Manchester United, anaripotiwa anataka kurejea Tottenham. Manchester United wamewaomba wawakilishi wa Robert Lewandowski kuwapa …
Tetesi zinasema, Manchester City imefanya mazungumzo na wakala wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund Mnorway Erling Braut Haaland,21. Tetesi zinasema, Chelsea huenda ikamuuza mshambuliaji wake raia wa Albania Armando Broja, …
Tetesi zinasema, Inter Miami itapambana kumsajili mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi kama nyota huyo mwenye miaka 34 ataamua kuondoka Paris St-Germain, anasema mmiliki mwenza wa klabu hiyo ya ligi …
Tetesi zinasema, Bayern Munich wanaweza kumuuza mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski msimu wa joto ikiwa hata saini mkataba mpya, mkataba wa sasa unakamilika mwezi Juni 2023. Wawakilishi wa Cristiano …
Tetesi zinasema, Real Madrid ndio mahali anapopendelea zaidi Robert Lewandowski iwapo mshambuliaji huyo wa Poland, 33, ataondoka Bayern Munich msimu ujao wa joto. Barcelona wanataka kumsajili mlinzi wa Uhispania …
Jana usiku, nyota wa PSG na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia, Ballon d’Or. Hii ni mara ya 7 kwake, alistahili? Tuzo …
Tetesi zinasema, Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer haaondolewa licha ya Mnorway huyo kushinda mechi 4 tu kati ya 8 za ligi kuu England msimu huu. Barcelona haina …
Tetesi zinasema, Real Madrid watamuuza kiungo wao wa kati Eden Hazard, mwenye umri wa miaka 30, ili kupata pesa kwa ajili ya mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, 29. Newcastle …
Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, hatasaini mkataba mpya Paris St-Germain haijalishi klabu hiyo ya Ligue 1 itamlipa kiwango gani cha fedha kwani nyota huyo ameamua kuelekea …
Orodha ya majina 30 yanayowania tuzo ya Ballon d’Or, mwaka huu ilitolewa siku ya Ijumaa alasiri na Jarida la Soka la Ufaransa. Sherehe hizo zitafanyika mwezi Novemba 29 baada ya …
Tetesi zinasema, mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial atakuwa huru kuondoka Manchester United katika dirisha la usajili la Januari. Mchezaji huyo wa miaka 25 anawaniwa na Barcelona. Tetesi zinasema, Mlinda …
Tetesi zinasema, Liverpool wanataka kumsajili mshambuliaji wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski ,33, ambaye anatarajiwa kuondoka msimu ujao. Manchester United wamekuwa na mazungumzo mazuri na kiungo wa kati …
Tetesi zinasema, Real Madrid wanamtaka mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski, 33, ikiwa watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland,21, kutoka Borussia Dortmund msimu ujao. Tetesi …
Tetesi zinasema, Kiungo wa England Jesse Lingard, 28, yuko tayari kuondoka Manchester United kabla ya dirisha la uhamisho kufungwa labda ahakikishiwe namba katika kikosi cha kwanza na meneja Ole …