Christian Eriksen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Inter Vs Shakhtar: Vikosi

Daily News

Inter Vs Shakhtar: Kocha wa Inter, Antonio Conte anaonekana anataka kukipa kikosi chake kile kile kutia kazi kwenye gemu dhidi ya Shakhtar Donetsk, wakati Christian Eriksen akipigwa benchi tena. Ni …

Ericksen – Mtauona Ubora Wangu.

Champions League

Christian Eriksen amesema kwamba hajaonesha kiwango chake tangu ajiunge na Inter lakini ameona maendeleo makubwa siku za usoni baada ya kuchangia goli  kwenye ushindi wa 2-1 Inter walipocheza dhidi ya …

Madrid na De Gea

Champions League

Baada ya Zinedine Zidane kurejea ndani ya viwanja vya Bernabeu zile habari za kumuwinda De Gea zimeanza kuchukua nafasi yake upya kwa mara nyingine tena. Hii inatokana na mapendeleo ya …

Fununu za Usajili

Champions League

Mlinzi wa klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos anaonesha kucheza vyema kwenye nafasi yake akiwa kama kiongozi wa wachezaji wa klabu hiyo mara baada ya kuanza ushawishi wa kumtaka nyota …

Nani Atamfuata Hazard La Liga?

Football

Eden Hazard amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kwenda Real Madrid, akiongeza orodha ya wchezaji wakali walioandika historia kutoka Premier League kwenda La Liga. Hazard anajiunga na mabingwa mara 13 wa …

Toni Kroos Apinga Kusepa Real Madrid

Football

Taarifa kutoka vyanzo kadhaa vya habari za kimichezo vilimtaja nyota wa Real Madrid Toni Kroos kuwa na mpango wa kusepa klabuni hapo. Nyota huyu anasema taarifa kuwa anapanga kusepa Real …

Madrid na De Gea

Champions League

Baada ya Zinedine Zidane kurejea ndani ya viwanja vya Bernabeu zile habari za kumuwinda De Gea zimeanza kuchukua nafasi yake upya kwa mara nyingine tena. Hii inatokana na mapendeleo ya …

Diaz Kuwatosa City Kisa Barca?

Football

Imefafanuliwa na AS kuwa wakali wa Hispania, Real Madrid wanakazana sana ili waweze kumshawishi mchezaji kiungo wa kati kutokea Hispania, Brahim Diaz kuwatosa City! Diaz mwenye umri wa miaka 19 …

Kane Kaongezwa Dili Nono!

Football

Wenyewe wanasema kuna ‘muvi’ tamu ianaendelea pale spurs wakiwa wametoka kupigwa katika gemu tatu mfululizo, huku wakiwa na hamu kurejesha amani ya vichapo walivyopata, sasa Harry Kane kachapa wino kwenye …

1 2 3 4 5 6 7