Monaco|Henry

Henry Kutia Maguu Uingereza

3
Mchezaji mshambuliaji wa kitambo klabuni Arsenal, Thierry Henry aliyepo kwenye kikosi cha ukocha wa taifa la Ubelgiji amekubali kwa maneno kuchukua uongozi wa Aston Villa ya Uingereza. Inadaiwa kuwa anaenda kuchukua nafasi ya Steve Bruce klabuni hapo kwa mujibu wa...
Mesut|Ozil

Ujerumani Yakataa Tuhuma za Ozil!

3
Shirikisho la Kandanda Ujerumani limekataa katukatu kuhusika na tuhuma za ubaguzi kwa mchezaji Mesut Özil na kuwa lilipaswa kuwajibika kuhakikisha kuwa mchezaji huyo hapitii ubaguzi wowote ule. Mchezaji Özil alitangaza kutoitumikia tena timu ya Ujerumani kwa sababu ya kuwepo na...
Sarri

Sarri Kutafutiwa Eneo la Fegi; Usajili wa Martial Pia!

0
Klabu ya Chelsea inatafakari juu ya wao kukubali kumpiga bei mchezaji kiungo wao wa kati wa huko Brazil, Willian kwa dau linalotajwa kuwa ni £65m kwenda Barcelona ya huko Hispania. Pia, taarifa zinadokeza kuwa Manchester United pia wanamhitaji sana mchezaji...
Mesut|Ozil

Dharau na Kubaguliwa Kwamuondoa Ozil Ujerumani!

1
Msakata kabumbu Mesut Ozil amejitoa kucheza kwenye timu ya taifa ya Ujerumani! Anasema kuwa yeye amestaafu kwa sababu ya ubaguzi wa rangi na dharau kutoka kwa Chama cha Soka Ujerumani na mashabiki wake! Ozil ana asili ya Uturuki na amekuwa...
Martyn Waghorn

Ipswich Nao Wamo!

2
Daily Star wanaweka wazi kuwa Sheffield United wamewasilisha maombi ambayo yamevunja rekodi kwa £5m kwa ajili ya mshambuliaji wa Uingereza, Martyn Waghorn. Mshambuliaji huyu ana umri wa miaka 28 kwa sasa na ofa hiyo ni kutoka kwa wapinzani wao Ipswich...
Aurelio de

Napoli Walishamuwinda Ronaldo

3
Aurelio de Laurentiis ambaye ni Rais wa Napoli amesema kuwa timu yake ya Serie A ilipendezwa sana na huduma ya Cristiano Ronaldo kabla ya mchezaji huyu wa Ureno kujiunga na Juventus ya huko huko Italia. Mchezaji mahiri mwenye umri wa...
Thibaut

Madrid Wajitoa kwa Hazard na Thibaut

3
Moja ya klabu kubwa za La Liga, Real Madrid iko tayari kutoa dau la paundi milioni 200 ili waweze kumnasa mchezaji Eden Hazard wa klabu ya Chelsea inayokipiga Ligi Kuu ya Uingereza. Hazard alisemekana kwamba anataka kusepa pale Darajani Stamford...
Liver

Liverpool: Ratiba ya Pre-season 2018/19

0
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Liverpool kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Liverpool / Pre-season 2018/19: 07-7-2018/ Chester FC vs Liverpool 11-7-2018/ T. Rovers vs Liverpool 14-7-2018/ Bury FC vs Liverpool 19-7-2018/ B. Rovers vs Liverpool 22-7-2018/ Liverpool...

Juventus Wamnasa Ronaldo!

1
Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo amesaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Juventus ya huko Italia ambapo dau lake ni la dunia nzima! Mwanzo kabisa dau kubwa la fedha lenye thamani ya paundi milioni 105 lilitajwa kumtoa Ronaldo pale...
Isco|Dyabala

Wanaowindwa na Liverpool

1
Moja ya klabu kongwe Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool ipo katika tafakuri juu ya kumnunua msakata kabumbu Grzegorz Krychowiak wa huko Poland. Mchezaji huyo kiungo wa kati ana miaka 28 na msimu uliopita alicheza akiwa kwenye klabu ya West Brom...