Bayern Munich Robert Lewandowski - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Chelsea imezungumza na ajenti wa mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Poland Robert Lewandowski, 32, kuhusu uwezekano wa kuhamia Stamford Bridge. Tetesi zinasema, Arsenal …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Jadon Sancho, 21, atakuwa ndiye mchezaji wa pili atakayelipwa zaidi Manchester United, nyuma ya mlinda lango David de Gea, iwapo atakamilisha uhamisho wake kutoka Borussia Dortmund msimu …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Chelsea imewasiliana na Bayern Munich kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski , lakini klabu hiyo ya ligi ya Premia inakabiliwa na changamoto kuu ya ushindani …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Chelsea na Manchester City wanataka kumsajili mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 32, kutoka Bayern Munich. Mshambuliaji wa Brazil Neymar, 29, ameongeza mkataba wa muda wake Paris St-Germain Jana …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United imemuongeza mlinzi wa Brighton Ben White kwenye orodha ya wachezaji wa beki wa kati wanaowataka. Paris St-Germain wanajiandaa kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari wa kiungo …

Wagner: Neymar Haondoki PSG

Champions League

Mshauri wa Neymar Jr – Wagner amesisitiza winga huyo hatoondoka PSG msimu huu kama watu wengi anavyodhani kwamba ni muda sahihi kurudi Barca. Kufuatia msimu mbaya kwa timu ya Barcelona, …

1 2 3 5 6 7 8 9