Paris Saint-Germain Lionel Messi - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Galtier: “Mbappe Ana Furaha Hapa PSG”

Ligue 1

Kocha mkuu wa PSG, Christophe Galtier alisisitiza kwamba Kylian Mbappe ana furaha akiwa Paris Saint-Germain, ingawa alikiri mustakabali wa Lionel Messi na wababe hao wa Ufaransa haujaamuliwa.   Mbappe ndiye …

Mendez Ampeleka Ronaldo Bayern

Premier League

Cristiano Ronaldo amefanya mazungumzo na Bayern Munich huku akipanga kuondoka Manchester United katika dirisha la usajili la Januari. Katika mahojiano na Piers Morgan, Ronaldo alidai kuwa anahisi kusalitiwa kwa sababu …

Galtier Aondoa Hofu Juu ya Mbappe

Ligue 1

Kocha mkuu wa PSG, Christophe Galtier amesema kuwa Kylian Mbappe alikabiliwa na uchovu wa misuli katika ushindi wa Paris Saint-Germain dhidi ya Lorient, na kocha huyo ameondoa hofu juu ya …

Ibrahimovic: Ligue 1 Bado Inanihitaji

Serie A

Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Psg na sasa AC Milan Zlatan Ibrahimovic anaamini kuwa soka la Ufaransa linaporomoka bila yeye kuwepo huku akisema kuwa hata uwepo wa Kylian Mbappe, Lionel …

Bei ya Haaland ni £175M

Champions League

Erling Haaland ana kifungu cha kutolewa cha paundi milioni 175 ambacho kinatumika tu kwa timu zilizo nje ya Ligi ya Uingereza, ripoti zimedai. Meridianbet Sport ilifichua wiki iliyopita kwamba staa …

PSG Yakamilisha Usajili wa Mendes

Daily News

Beki wa kushoto wa kimataifa wa Ureno Nuno Mendes amesaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Paris Saint-Germain kwa kutumia kipengele cha kumnunua katika mkataba wa mkopo walikuwa nao …

PSG VS ANGERS: Kikosi cha PSG Jumatano

Daily News

Paris Saint-Germain -PSG italazimika kuingia dimbani bila Neymar aliyesimamishwa kwenye mechi ya Jumatano ya Ligue 1 dhidi ya Angers kwenye Uwanja wa Raymond Kopa. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil …

Monaco Yaibomoa PSG 3-0

Daily News

Paris Saint-Germain ilikubali kipigo cha bao 3 bila majibu kutoka Monaco siku ya Jumapili mchezo wa Ligue 1 PSG ilionekana kuzembea na kutojali kwa kushindwa kuondoka na alama tatu wakicheza …

Mipango ya Mbappe Ipo Pale Pale

Champions League

Katika dirisha la usajili lililohitimishwa mwezi wa tisa Kylian Mbappe  alionyesha kutotaka kuendelea kubaki Paris Saint-Germain na alikuwa akitaka kwenda Real Madrid ambapo iko wazi ataondoka kama mchezaji wa bure. …

1 2 3 5 6 7 8 9 10