ronaldo-ibeza

CRISTIANO RONALDO ALA BATA IBIZA

Ni ule wakati wachezaji wengi wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya michuano ya Euro 2016 kwa kucheza mechi za kirafiki za kimataifa na kufanya mazoezi ya nguvu kwenye kambi za timu za taifa, mambo yalikuwa ni tofauti kabisa kwa Cristiano...
france president

Rais wa Ufaransa Anena!

Rais wa Ufaransa bwana Francois Hollande amesema vitisho vya ugaidi vilivyoitikisa nchi yake ni jambo la kutupiliwa mbali na nchi yake kwa sasa ipo katika usalama mkubwa sana na kutakuwa na mafanikio makubwa sana wakati mechi zikiendelea na haipaswi...
antonio-conte

Mechi ya Kirafiki ya Italy

Kocha wa Italy bwana Antonio Conte amesema kwamba anategemea kutoa nafasi zaidi kwa wachezaji wake katika mechi ya kirafiki dhidi yake na Finland leo usiku, gemu hii ya kirafiki itakuwa ni ya mwisho kwao na itasakatwa katika uwanja wa...
Zlatan Ibrahimovic|Zlatan Ibrahimovic

ZLATAN AIAGA PARIS ST-GERMAIN KWA KUIPA UBINGWA

Siku zinahesabika kuelekea kuanza kwa michuano ya Euro 2016 na mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic ametia kimiani magoli mawili katika mchezo wake wa mwisho akiwa na Paris St-Germain walioibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Nantes na kukabidhiwa kombe la...
man united for euro

MAN UNITED KUMSAINI ZLATAN IBRAHIMOVIC!

Kipyenga kinakaribia kupulizwa na sasa Manchester United wanatarajiwa kukamilisha kumsaini Zlatan Ibrahimovic kabla ya michuano ya EURO 2016 kuanza mwishoni mwa juma hili. Sky Sports walisema, “… hivi sasa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Man United Ed Woodward na wawakilishi wa...
arsenal

Hawampati au Wanampata?

Ardy anataraji kwenda Arsenal ambapo hofu imetanda kama endapo wakishindwa kumsaini kabla michuano ya Euro 2016 kuanza! Klabu ya Arsenal imekumbwa na hofu hii kwamba wakishindwa kumsaini straika wa Leicester City Jamie Vardy kabla ya mashindano makubwa ya EURO...
usa-vs-colombia

Marekani Wafanye Nini?

Heshima yao ilishuka sana pale walipofungwa na timu kongwe na bora duniani ya Colombia, hata hivyo wana maeneo muhimu ya kurekebisha ili kusonga mbele zaidi katika michezo iliyosalia. Marekani wanashauriwa kufuata mambo kadha wa kadha ili kuweza kumudu michuano...
argentina wrong song

Copa America Waomba Radhi

Kama ulitazama mechi kati ya Mexico na Uruguay iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ni kwamba waandaaji walikosea kupiga wimbo wa taifa la Uruguay muda mfupi kabla ya mtanange kuanza. Jambo hili lilifanyika bila kukusudia kama ambavyo waandaaji wa michuano...
argentina-team

HISTORIA KUJIRUDIA?

Msimu uliopita katika michuano ya Copa America, Argentina ilitinga nusu fainali kwa penati 5-4 kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya Colombia baada ya sare ya 0-0. Sifa nyingi zilimuendea mshambuliaji wa Juventus ya Italia, Carlos Tevez aliyefunga penati ya...
paraguay vs costa rica

Costa Rica na Paraguay Sare, Peru Zaidi!

Mashindano ya kombe la Copa America 2016 yanaendelea, na kwenye mechi nyingine zilichochezwa usiku wa jana, Costa Rica na Paraguay za Kundi A zilitoka 0-0 na kwenye Kundi B Peru iliifunga Haiti 1-0 kwa bao la dakika ya 61...