Matic Kuungana na Mourinho, Roma.
Daily News

  Kiungo wa Manchester United, Nemanja Matic anakaribia kuungana na kocha wake wa zamani, Jose Mourinho ndani ya klabu ya Roma baada ya mkataba wake kukamilika mwishoni mwa mwezi huu. …

Soma zaidi
Gattuso Kutangazwa Kuwa Kocha wa Valencia.
Football

  Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Italia, Gennaro Gattuso, 44 anatarajiwa kutangazwa kama kocha mpya wa Valencia licha ya mashabiki kupinga maamuzi hayo. Valencia wanasaka kocha mpya kabla …

Soma zaidi
Bergwijn Ameamua Kuondoka Spurs
Football

Waswahili husema ‘ chelewa chelewa utamkuta mwana sio wako’ Steven Bergwijn hataki kuchelewa wala kucheleweshwa tena. Spurs wamuachie? Sekeseke la kutaka kuondoka Tottenham Hotspurs lilianza mwezi Januari lakini, uongozi wa …

Soma zaidi
Pochettino Akalia Kuti Kavu PSG.
Daily News

  Klabu ya PSG inapanga kufanya mapinduzi makubwa katika uongozi wa timu hiyo na wamepanga kuvunja mkataba wa meneja wa timu hiyo Mauricio Pochettino. Paris Saint-Germain wana mwelekeo wa kumfukuza …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

  Tetesi zinasema, Barcelona wamemwambia mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri Mohamed Salah, 29, kwamba anaweza kujiunga nao kwa uhamisho wa bure wakati mkataba wake na Reds …

Soma zaidi
Nadal Atwaa Ubingwa wa French Open.
Daily News

  Rafael Nadal ameshinda taji lake la 14 la French Open na kuongeza rekodi ya 22 ya Grand Slam baada ya kumshinda Casper Ruud katika fainali Jumapili huko Roland Garros. …

Soma zaidi
Kampuni Namba Moja ya Kubeti: Jinsi ya Kushinda Beti
Casino

Meridianbet ndiyo mabingwa wa ubashiri Tanzania! Kila mtu anafahamu, kwa nini usijisikie uko nyumbani ukiwa unatengeneza mkwanja na meridianbet? Fahamu jinsi ya kushinda beti zako na Meridianbet Unayo kila sababu …

Soma zaidi
Bale Kustaafu Baada ya Kumalizana na Real Madrid?
Daily News

Muda wa Gareth Bale na Real Madrid umefika mwisho ambapo mkataba wake utaacha kufanya kazi Juni 30 na tayari amewaaga Real Madrid. Kwa miaka mingi Bale am,ekuwa akihusishwa kutemana na …

Soma zaidi
Tanzania Yaanza na Sare Kufuzu AFCON.
Daily News

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Niger katika Mechi ya Kufuzu AFCON 2023 kwenye Uwanja wa de L’amitié Jijini Cotonou, Nchini Benin. …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United wanaweza kumnasa mchezaji wa Denmark Christian Eriksen kwa uhamisho huru kufuatia mkataba wake wa muda mfupi na Brentford kumalizika mwishoni mwa mwezi Juni. Arsenal wako …

Soma zaidi
1 2 3 835 836 837 838 839 840 841 2,028 2,029 2,030