Ciro Immobile Ndiye Mfungaji Bora Ulaya!
Mshambuliaji wa Lazio, Ciro Immobile ndiye mshindi wa Kiatu cha Dhahabu kwa mwaka 2020, hii ni kwa sababu Cristiano Ronaldo hayuko hata kwenye kikosi cha Juventus kukabiliana na Roma. Ronaldo …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Mshambuliaji wa Lazio, Ciro Immobile ndiye mshindi wa Kiatu cha Dhahabu kwa mwaka 2020, hii ni kwa sababu Cristiano Ronaldo hayuko hata kwenye kikosi cha Juventus kukabiliana na Roma. Ronaldo …
Matumaini ya Cristiano Ronaldo kuibuka mfungaji bora mbele ya Ciro Immobile katika soka ya Bara Ulaya msimu huu yanazidi kupotea, baada ya kushindwa kutikisa nyavu za wapinzani katika mchuano ulioshuhudia …
Nyota wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Uingereza, Jadon Sancho ameonesha hisia zake juu ya kifo cha mmarekani mweusi, George Floyd alieuawa na polisi nchini Marekani kwa kuonesha …
Maisha yanakimbia kwa kasi kubwa na kila mtu atapata alichoandikiwa, kila mtu atapata stahiki yake. Soka ni mchezo maridhawa na mabingwa huwa wale wenye bahati japo uwezo huchangia asilimia kubwa. …
Mwisho wa wiki iliyopita michuano ya ligi ya Ujerumani, Bundesliga ilirejea tena uwanjani ikiwa imepita muda wa miezi miwli tangu isimamishwe. Ligi hiyo kubwa ya nchini Ujerumani ni moja ya …
Ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga ndiyo ligi kubwa ya kwanza barani Ulaya kurejea hewani baada ya kuibuka kwa ugonjwa wa Covid-19 ambapo tukashuhudia kusimama kwa mechi nyingi sana duniani. Sisi …
Roberto Firmino ambaye ni msakata kabumbu nafasi ya mshambuliaji wa klabu ya soka ya Liverpool Roberto Firmino ameweka wazi kwamba Liverpool ililazimika kubadilisha mtindo wa uchezaji wake mara baada ya …