Paris Saint-Germain Lionel Messi - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Siku ya Maamuzi kwa Christiano Ronaldo

Daily News

Cristiano Ronaldo anafanya mashabiki wake kuendelea kubaki na maswali ya nini kinafauata kwake msimu huu wa joto, na mustakabali wake wa Juventus bado haujathibitishwa. Mreno huyo alimaliza kama mfungaji bora …

Chelsea Bado Kumuachia Miralem Pjanic

Daily News

Chelsea wameripotiwa kushikilia nia ya kumsajili kiungo wa Barcelona Miralem Pjanic wakati wa usajili wa majira ya joto. Pjanic alijitahidi kwenye kampeni yake ya kwanza huko Camp Nou, akianza katika …

Pochettino Kurejea Spurs!

Daily News

Klabu ya Tottenham tayari inafanya mazungumzo ya kumrejesha tena meneja wao wa zamani Mauricio Pochettino, ambaye kwa sasa anahudumu kama meneja kule Paris Saint-Germain. Kwa mujibu wa Skysport, Tottenham wamefikiria …

Guti: Ningemsajili Neymar na Mbappe

Daily News

Legendari wa Real Madrid José María Gutiérrez Hernández, maarufu kama Guti, amesema angekuwa yeye angewasaini mastaa wa Paris Saint-Germain, Neymar na Kylian Mbappe kwa Real Madrid, huku akimtania Antoine Griezmann …

Rekodi ya De Lima Haifutiki

Champions League

Pamoja na ubora wa Mbappe na msaada wake mkubwa katika timu ya taifa na klabu ya Paris Saint-Germain, imekuwa ngumu sana kuharibu rekodi iliyowekwa na mchezaji nguli wa taifa la …

Wanaokula Pesa Ndefu Ulaya

Champions League

Kuwa mchezaji mkubwa na anaekubalika na kila klabu ni ndoto ya kila mchezaji; nyota wengi hutamani nafasi hiyo adhimu ya kuweza kuwika na angalau kulipwa mshahara mkubwa ambao utaweza kuwa …

Kumi wa Msimu wa 2018/19

Champions League

Kama ilivyo kawaida unapomalizika msimu wa ligi lazima kuna nyota ambao huweza kuonekana kuwa wamefanya vizuri zaidi kwenye mchezo fulani ndani ya msimu huo. Hii huweza kuhusisha ligi zote kubwa …

1 2 3 6 7 8 9 10