Golikipa wa zamani wa Italia Gianluca Pagliuca anamtarajia Gianluigi Donnarumma kusaini mktaba mpya na kuendelea kusalia Milan.
Pagliuca: Natarajia Donnarumma Kusalia Milan
Golikipa wa Milan Gianluig Donnarumma

Donnarumma anatarajia kumaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na bado hajakubali kuongeza muda wa kukaa na The Rossoneri.

Chelsea ni moja ya vilabu vinavyoiwinda saini ya mlinda mlango huyo wa umri wa miaka 22ambaye amecheza mechi 200 kwa miamba ya Milan tangu mwaka 2015.

Lakini golikkipa wa zamani wa Inter Pagliuca haamini kama Donnarumma anakwenda kumaliza muda wake huko San Siro.

Aliiambia The Stats Perform News: “Nadhani atasalia Milan, bado suluhisho linatafutwa kati ya klabu na mchezaji, Klabu inataka kumpa mchezaji €8m yeye anataka €12 watakubaliana kwa €9m au €10m.

“Kiasi cha pesa cha €9m, €10m au €11m ni kitu kile kile haijabadilika sana ni €1m iliyoongezeka, inaweza kubadilika.

“Ange penda kusalia Milan ili apate pesa ndefu. Wakala Mino Railo ambaye ni wakala mzuri atajaribu kutafuta mshahara mzuri kwa mcheaji huyo.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Donnarumma, Pagliuca: Natarajia Donnarumma Kusalia Milan, Meridianbet

CHEZA HAPA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa