Pokea bonasi asilimia 5 kwa kila muamala unaoufanya kwenye akaunti yako ya Meridianbet Tanzania. Ndiyo, ni asilimia 5 ya bonasi kwa kila muamala wako wa kuweka pesa mtandaoni.

Hii yote ni kwa sababu pesa zako zina thamani kubwa sana ambapo sasa unapata asilimia 5 ya bonasi kwa kila muamala unaoweka, hamna masharti hapo!

Ikoje hii?

Wateja wote waliojisajili kwenye tovuti yetu ya www.meridianbet.co.tz ndiyo ambao watakuwa na haki ya kushiriki katika promosheni hii ambapo kwa kila muamala unaoweka unapokea bonasi ya asilimia 5.

Kiasi cha chini unachotakiwa kuweka ili uweze kupata faida hiyo ni kuanzia shilingi 5 000 tu za Kitanzania, shilingi 5 000 tu! Miamala ambayo itahusika katika promosheni hii na kukuwezesha wewe kupata asilimia hizo za bonasi ni ile ambayo iliwekwa kwa namba ya Tigo, Tigo Pesa ama ya Vodacom, M-Pesa.

Kiwango cha juu cha bonasi ambayo unaipata ni shilingi 25,000 za Kitanzania. Ofa hii ni halali kwa mteja yeyote ambaye ameweka pesa zake kwa njia za malipo zilizopo katika tovuti yetu ya www.meridianbet.co.tz

Ili bonasi yako iwekwe kwenye akaunti yako utatakiwa kutumia pesa yote uliyoweka katika kubetia michezo iliyopo katika mtandao wetu ama kasino zetu zilizopo.

Fahamu zaidi…

Inapofika siku ya pili baada ya wewe kuweka pesa yako utapokea bonasi yako mida ya mchana wa siku husika. Unaweza kuomba bonasi zaidi ya mara moja. Promosheni hii inaendelea mpaka sasa kuanzia tarehe 14 mwezi wa tatu mwaka huu, 2020.

Meridianbet ina haki ya kusitisha upatikanaji wa ofa yoyote ama kuiondoa pale inapotakiwa kufanya hivyo na kuwataarifu wateja wake kwa njia ya ujumbe wa barua pepe. Itakuwa ni pale tu ambapo zawadi zilizotolewa hazijaondolewa ama kufutwa isipokuwa wakati ambao mteja amekiuka vigezo na masharti ya Meridianbet.

Meridianbet ina haki ya kurekebisha haya na kuwajulisha wateja wake kwa ujumbe wa barua pepe juu ya mabadiliko husika. Pia, ina haki ya kudai ama kukataa kutoa ofa endapo mteja amekiuka vigezo na mashari vya Meridianbet. Wakati wa madai hayo, mteja atajulishwa juu ya mabadiliko husika.

Vigezo na masharti ya jumla vitatumika. Ukiwa nasi siku zote wewe ni mshindi kwa hakika kabisa. Beti sasa!

26 MAONI

  1. Swali kwa#meridian kwann bonus alitoki kwa wakati maana nime weka ela kwenye account yangu hafu cja iyona iyo bonus hau kuna maali nime kosea eh…..

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa