Baada ya kukamilisha usajili ulioweka rekodi ndani ya Uingereza, Pep Guardiola yupo tayari kwenda mahakamani kuitetea City kwa usajili wa Jack Grealish.

Grealish amejiunga na Man City kwa dau la £100M akivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Paul Pogba aliyoiweka 2016 aliporejea United. Huu ni usajili ambao umezua maneno mengi miongoni mwa mashabiki, wengine wakihoji uzingatiaji wa kanuni za kifedha.

Pep Guardiola, Pep Guardiola: Tupo Sawa Kwa Grealish, Meridianbet
Jack Grealish

City bado wanahusishwa na Harry Kane na pengine kuna mazingira ya ukikwaji wa kanuni za mapato na matumizi kwa mabingwa hawa wa EPL. Pep Guardiola, ameelezea mchakato ulivyokuwa;

Tumetumia £40M tu. Tumelipa £100M lakini tuliingiza £60M kwa mauzo ya wachezaji mwaka jana. Bila hii £60M, tusingeweza (kumsajili Grealish) lakini tunafurahi tumeweza.

Tulifanya hivyo kwasababu tunaweza kufanya hivyo. Kama kuna watu hawaamini, tunaweza kwenda mahakamani na tutalitetea hilo, tulifanya kwa usahihi”


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa