Florentiono Perez amekuwa raisi wa Real Madrid kwa takribani miaka 20 sasa, akiichukua klabu hiyo wakati ikipitia katika hali ngumu ya uchumi na kuipitisha katika mipango ambayo imewafikisha wali[o sasa.

Super League ilianzishwa wiki iliyopita, ikiwa ni ligi inayohusisha vilabu 12 vikubwa Ulaya wakiwemo Atletico Madrid, Barcelona and Real Madrid kutoka La Liga, pamoja na Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Tottenham Hotspur, Juventus, Milan na Internazionale.

“Tulichokifanya ni kujipa mda wa wiki kadhaa kufikiria hili na kupima athari yake kwa kuzingatia wale ambao hawataki kupoteza sifa yao ambao wameamua kushawishi mradi huu.” – Perez

Vilabu sita vya Uingereza tayari vimejiondoa katika mradi huo wakiwa chini ya shinikizo kubwa la mashabiki, huku vilabu vya Italia vikifuata bila kuzungumza sana.

Florentino Perez akiwa kama raisi wa Super League, aliulizwa ikiwa mradi huo umekufa, lakini amesema bado kuna tumaini na inahitajika jambo kufanyika kwa haraka kwa ajili ya hilo na wamejipa mda.

Perez anasisitiza kuwa wanahitaji kufanya jambo mapema, na vinginevyo vilabu vitafilisika. Anaamini mradi wa Super League ulikuwa unaenda kupunguza changamoto ya kiuchumi kwa vilabu husika.


 

MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Perez, Perez: Tufanye Kitu, Au Vilabu Vifilisike, Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa