Baada ya Polisi Tanzania kuamishia mechi yao dhidi ya Simba katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Uongozi wa timu hiyo umeweka wazi kuwa haufuati pesa jijini humo bali ni kubadilisha tu mazingira.

 

polisi, Polisi TZ: Hatujabadili Kiwanja Kwaajili ya Pesa., Meridianbet

Makamu Mwenyekiti wa timu hiyo Robert Munisi, amesema kuwa:

“Suala la Pesa?, kwani ninajua mechi ya Simba nitapata shi ngapi? Hatuendeshi timu kwa kutegemea viingilio, tuna Wafadhili bado kuna hela za bodi kuna sababu nyingi”

Polisi Tanzania hadi sasa mechi zake 14 za nyumbani imecheza viwanja vinne vya mikoa mitatu ambavyo ni Ushirika (Kilimanjaro), Sheikh Amri Abeid (Arusha) na Uhuru pamoja na Azam Complex (Dar).


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

polisi, Polisi TZ: Hatujabadili Kiwanja Kwaajili ya Pesa., MeridianbetBASHIRI SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa