Chelsea Watabadili Gia Angani kwa Kounde Baada ya Kuumia?
Klabu ya Chelsea imeonyesha nia yake ya kutaka kumsajili beki wa Sevilla Jules Kounde wakati wa dirisha hili la majira ya kiangazi lakini sasa beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa alipata jeraha alipokuwa kwenye majukumu na timu ya taifa...
Mason Greenwood Bado Hakieleweki
Mahambuliaji wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood ambaye amesimasha na klabu hiyo kutoka na kashfa ya kubaka na kujeruhi bado uchunguzi unaendelea japokuwa yupo nje kwa dhamana.
Hivi karibuni kulikuwa kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mason Greenwood...
Kumbe Haaland Alishawishiwa na Mahrez Kusaini City
Erling Haaland amefunguka kwamba Riyad Mahrez alisaidia katika harakati za Manchester City kuitaka saini ya mshambuliaji huyo wa Norway wakati wa dirisga hili la majira ya kiangazi.
Mahrez alikutana na Haaland wakati wa mapumziko msimu uliyopita huko Mykonos nchini Ugiriki...
Kibwana Shomary – Nidhamu na Uvumilivu Ndio Njia Aliyoichagua
Kibwana Shomary A.k.A Katongo Mawe A.K.A kiboko ya vigogo kazi ngumu mpe yeye Afanye ,ni ndugu wa yule Carl Gugasian 'The Friday Night bank robber'! Muhalifu aliyeiumiza kichwa FBI kwa miaka 30 akitekeleza matukio 50 ya kuvamia na kuiba...
Bayern Wanasitasita kwa Mane Wanafikiria Mbadala
Klabu ya Bayern Munich wanaonekana kama wamepunguza nia yao ya kutaka kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane baada ya mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Hasan Salihamidzic kusema kwamba Mane sio uchaguzi pekee ambao Bayern Munich wanategemea.
Mane aliijulisha Liverpool...
Las Vegas: Ronaldo Afutiwa Kesi ya Kubaka
Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili nyota wa Manchester United, Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey
Jaji Dorsey amefuta kesi hiyo akisema nyaraka za siri walizokuwa wakizitegemea Kathryn na Mwanasheria wake kama ushahidi zilipatikana visivyo...
Mshindo Msola, Dira ya Uongozi Wake Ilivyo Ibadilisha Yanga
Wajerumani wnaa msemo wao maarufu sana unaosema “ Nur die Harten kommen in den Garten” ambao una maana “ wenye nguvu pekee ndio hushinda vita au kufika mwisho kishujaa “
Mshindo Msola aliichukua Yanga SC ikiwa hoi taabani kiuchumi na...
Aziz Ki, Ni Kijani na Njano, Simba Yapokonywa Tonge Kinywani
Alichokiandika Haji Manara baada ya Simba SC kukanusha barua inayowahusisha na Stephane Aziz Ki, kupitia ukurasa wake wa Instagram :
✍️ “ Sasa hivi Wanaikana Barua yao wakati leo kutwa walikuwa wameaminishwa uzuzu na Bi Chaunabe.
“Hii ndio Yanga Afrikaaaaaaa..
Vp kuna...
Tottenham Kuwapiga Bao Manchester United?
Klabu ya Tottenham Hotspur wanakaraibia kumsajiri mshambuliaji nyota wa klabu ya Everton Richarlison na wako tayari kutoa kiasi cha £50million huku kukiwa na taarifa kuwa tayari wameshafanya mazungumzo kuhusu uhamisho huo na mchezaji husika.
Hivi karibuni klabu ya Manchester United...
Son Heung-min Kukosekana Kwenye Kikosi cha PFA ni Ubaguzi?
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham na mfungaji bora wa ligi kuu ya Uingereza Son Heung-min amekosekana kwenye kikosi bora cha msimu chenye wachezaji kumi na moja kilichotajwa siku ya alhimisi na Premier League.
Son Heung-min amefanikiwa kucheza michezo 35 msimu...