Dan Ashworth anajianda kuwa mkurugenzi mpya wa michezo wa klabu ya Newcastle baada ya Magpies kufikiana makubaliano ya mwisho na klabu ya Brighton kumuachia na kuvunja nae mkataba.

Dan Ashworth ambaye wawali alikuwa mkurugenzi wa ufundi wa FA na aliacha kazi na kwenda kujiunga na klabu ya Brighton mwezi February, lakini klabu hizo mbili  zimekuwa zikijihusisha kwenye mazungumzo ya muda mrefu kwa ajiri ya Dan.

Dan Ashworth, Dan Ashworth Kwenda Newcastle, Meridianbet

Klabu ya newcastle imetoa waraka uliosomeka, “Newcastle United inayo furaha kumtangaza Dan Ashworth atakuwa mkurugenzi mpya wa klabu baada ya makubaliamo kufikiwa na  Brighton & Hove Albion kumuachia kutoka kwenye vifungu vyake vya kimkataba kwa hatua za dharura.

“Masharti ya makubaliano haya yatabaki kuwa siri kati ya klabu na bodi ya ligi kwa ajiri ya kuthibitisha. Newcastle United itatoa maelezo zaidi kufautia hatua za uthibitisho.”

Brighton na wamethibitisha kuondoka kwa Dan Ashworth haraka iwezekanvyo kwenye waraka wao.

Brighton & Hove Albion na Newcastle United wamefikia makubaliano ya kumuachia haraka iwezekanavyo Dan Ashworth kutoka kwenye wajibu wa kimkataba na Brighton.

“Masharti ya makubaliano haya yatabaki kuwa siri kati ya klabu na bodi ya ligi kwa ajiri ya kuthibitisha.

“Tungependa kumshukuru Dan kwa huduma yake na tunamtakia maisha mema huko akwendako.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa