Guardiola Kubadili Mfumo wa Uchezaji Kwenye Manchester Derby
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola ameweka wazi kuwa anakusudia kubadili mbinu kwenye mchezo wa jumapili dhidi Manchester united ili kuzui mashambulizi ya kushitukizi kwenye derby ja jiji la Manchester.
Pep Guardiola anajulikana zaidi kwa mchezo wake wa...
FPL Yatua Handeni Tanga. Ushindi GW8!
EPL inawendelea kuchanja mbuga, vivyo hivyo, Fantasy Premier League (FPL) inaendelea kutoa zawadi na bonasi kibao kwa washindi wake kupitia MeridianbetTZ.
Baada ya Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam kuibuka washindi kwenye wiki 3 za mwanzo wa shindano hili. Safari...