Mchezaji nyota wa klabu ya Manchester United Paul Pogba  amejiondoa kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa timu hiyo baada ya kupata offa ya mikataba kutoka kwenye klabu kubwa mbili barani ulaya ambazo ni Real Madrid na Juventus.

Paul Pogba alicheza mchezo wake wa mwisho kwenye klabu hiyo kwa msimu huu dhidi ya Liverpool baada ya kutolewa kwenye mchezo huo waliopoteza kwa goli 4-0 baada ya kupata majeraha ya mguu, na kocha wa muda akaamua kumtoa nje baada ya kuzungumza na daktari wa timu hiyo.

“Daktari aliniambia itachukua wiki nne kwake kuweza kupona na mchezo wetu wa mwisho ni mwishoni wa mwezi may, sidhani kama itawezekana kucheza tena.” Rangnick aliwaambia waandishi.

Tetesi za sintofahamu kuhusu Paul Pogba hatma yake kwenye dimba la Old Trafford imekuwa ikipamba moto kwa muda sasa. Mwezi March, alisema msimu wa United ulikuwa umekwisha baada kukataa tamaa ya kumaliza msimu pasipo kombe lolote.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa