Todd Boehly na washirika wamemilikishwa rasmi klabu ya chelsea baada ya kukamilisha hatua zote ambazo serikali na bodi ya ligi waliziweka ili kuweza kuinunua klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza.

Todd Boehly na washirika wake wamelipa kiasa cha £4.25 billion mwezi May 7 na leo makabidhiano yamekamilishwa na kumilikishwa rasmi hii leo, na pia  alitoa neno kupitia mtandao wa klabu ya Chelsea.

Todd Boehly, Todd Boehly Mmiliki Mpya wa Chelsea, Meridianbet

“Ni heshima kuwa wamiliki wapya wa Chelsea Football Club. Tupo hapa kwa asilimia 100, kila dakika ya mchezo.” Alisema Todd Boehly

“Maono yetu kama wamiliki yako wazi, tunataka kuwafanya mashabiki wajivunie. Huku tukijikita kwenye maendeleo ya kikosi cha vijana  na kuleta vipaji bora, mipango yetu ya vitendo ni kuwekeza kwenye klabu kwa muda mrefu na kutengeneza historia ya mafaniko isiyofutika kwenye klabu ya Chelsea.

“Mimi binafsi nataka kuwashukuru mawaziri na viongozi wote wa serikali ya Uingereza, na bodi ya ligi, kwa kufanya jambo hili kutokea na kuwezekana.”


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa