Todd Boehly na washirika wake amesaini makubaliano ya kuinunua klabu ya chelsea kutoka mikononi mwa mrusi  Roman Abramovich.

Klabu ya chelsea kwenye waraka wake ilitangaza siku ya jumamossi mapema kuwa serikali imethibitisha bwana Todd Boehly kuuziwa klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza huku makubaliano ya kuichukua jumla yakitarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi May.

Todd Boehly
Todd Boehly

Chelsea walikuwa na ukomo hadi 31 may kumtafuta mtu atakaye weza kuinunua klabu hiyo kulingana na leseni ya uendeshaji waliyopewa na serikali ya uingereza kuisha na kama wasingefanikiwa kumpata basi klabu hiyo ingeshushwa daraja.

Waraka wa chelsea ulisemokea, “jumla ya uwekezaji uatakaofanya, £2.5billion itatumuka kununua hisa za klabu na zitawekwa kwenye akaunti zilizozuiliwa za banki na asilimia 100 ya pesa zote zitatolewa kama msaada kama ilivyothibitishwa na Roman Abramovich.

Pia, mmiliki mpya amepanga kutoa kiasi cha £1.75billion zaidi kwenye uwekezaji kwa faida ya klabu. Uwekezaji huu utahusisha maboresho ya uwanja Stamford Bridge, kuboresha soka la vijana, soka la wanawake na Kingsmeadow na kuendelea kuborseha na kusaidia Chelsea Foundation.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa