PSG wanaripotiwa kuwa hawapo tayari kukamilisha uhamisho wa kudumu kwa chaguo la kumsajili Alessandro Florenzi klabuni hapo.

Nyota huyu wa Italia alianza kwa kufanya vyema na kuvutia huko Ligue 1, alionekana tayari amejiandaa kwa uhamisho wa kudumu klabuni hapo.

Amecheza jumla ya mechi 30 msimu huu akifanikiwa kufunga magoli mawili na asisti moja. Mkataba wake wa mkopo una thamani ya €1m na chaguo la kumnunua kwa €9m.

Alessandro Florenzi
Alessandro Florenzi huenda akarejea AS Roma

Hata hivyo, taarifa zinasema kuwa PSG chini ya meneja Mauricio Pochettino sasa wanatazama machaguo mengine waliyonayo, na staa huyu haonekani kuwa kipaumbele.

Hivyo, hii inamaanisha kuwa Florenzi atarejea Roma baada ya kumalizana na mda wake wa mkopo klabuni hapo mwisho wa msimu.

Ripoti zinasema kuwa ikiwa Paulo Fonseca ataondoka Roma, basi hii itampa nafasi staa huyu mwenye miaka 30 kuchukua nafasi yake pale Stadio Olimpico.

 


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Florenzi, PSG Hawatakamilisha Uhamisho wa Kudumu wa Florenzi, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

 

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa