Klabu ya Manchester United ipo tayari kuweka mezani dau la paundi milioni 40 ili wamnase mchezaji mwenye umri wa miaka 22 kutoka PSV Eindhoven ambaye pia ni mshambuliaji wa Mexico, Hirving Lozano siku za usoni.

Na inadaiwa kuwa bado Manchester United wanaendelea kumfukuzia msakata kabumbu mwenye umri wa miaka 17, Erling Haaland wa Molde. Huyu ni mtoto wa raia wa Norway, Alf-Inge Haaland aliyekuwa kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Manchester City.

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa