Mchezaji tenesi namba 3 kwa ubora duniani, Rafael Nadal ameamua kujiondoa kwenye mashindano ya Wimbledon na Olympics mwaka huu.

Nadal anafikia uamuzi huu akiwa tayari anamakombe kadhaa ya Wimbledon (2008 na 2010) ikiwa ni sehemu ya mataji 20 ya Grand Slam.

“Sio uamuzi mrahisi lakini baada ya kuusikiliza mwili wangu na kuzungumza na timu yangu, huu ndio uamuzi sahihi. Lengo ni kuendeleza uwezo wangu na kuendelea kufanya ninachokipenda.” Alisema Rafael Nadal.

Mashindano ya Wimbledon yataanza kutimua vumbi Juni 28 kabla ya michezo ya Olympics itakayofanyia Tokyo,Japani.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa