Aliyekuwa nahodha wa Real Madrid Sergio Ramos ameagwa leo kuondoka klabuni hapo baada ya kuhudumu klabuni hapo kwa muda wa miaka 16.

Sergio Ramos amekuwa Madrid kwa miaka 16 sasa na leo ilikuwa siku ya kuaga klabu hiyo. Katika mkutano na waandishi wa habari, Sergio hakuona haya kutoa ukweli kuhusu kufeli kwa dili hilo.

Ramos alisema kuwa anatamani  kuendelea kucheza Madrid lakini ofa yao haikuwa nzuri sana hivyo hawezi kusalia hapo hapo tena.

Klabu ya Sevilla ilitoa ofa ya kutaka huduma ya mchezaji huyo lakini amesema hawezi kwenda klabuni hapo.

Timu za PSG, Chelsea, Manchester United na Manchester City zimeonesha dalili za kutaka huduma hiyo lakini bado haijulikani atatua wapi!


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa