Mchezaji wa Manchester United, Marcus Rashford amefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa manchester United kufunga magoli 20+ kwenye mashindano yote ya timu hiyo.

Wayne Rooney alikuwa mchezaji wa kwanza kufanya hivyo mwaka 2010 na toka hapo hajawahi tokea mtu yeyote kufanya hivyo. Katika misimu ya 2007/2008 na 2009/2010, Wayen alifanikiwa kufunga magoli 20 na kuendelea kwa mechi za mashindano yote aliyoshiriki na United.

Rashford
Mchezaji aliyejijengea heshima zaidi EPL

Marcus anakuwa mchezaji wa kwanza wa Manchester United kufunga magoli 20 na kuendelea baada ya misimu 10. Rashford aliweka rekodi hiyo jana baada ya kufunga goli moja na la kwanza kwa United katika robo fainali ya Europa League dhidi ya Granada FC.

Marcus amekuwa akifanya mambo makubwa sana kwa United, kote uwanjani na nje ya uwanja. Alifanikiwa kuanzisha kampeni iliyolenga kusaidia chakula kwa wanafunzi na akafanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Rashford amekuwa akiweka rekodi nyingi sana duniani na amekuwa akichukua tuzo kibao za heshima.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Rashford, Rashford Aweka Rekodi Magoli 20+ Mfulululizo, Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa