Shirikisho la michezo ncini England, FA limethibitisha kuwakosa wachezaji wawili, Marcus Rashford wa Manchester United na Bukayo Saka wa Arsenal.

Shirikisho hilo limesema wachezaji hao watakosa michezo miwili iliyosalia ya kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia dhidi ya Albania na Poland kutokana na Majeraha.

Rashford na Saka wote walikuwa benchi katika mchezo wa kwanza dhidi ya San Marino siku ya Alhamisi ambayo waliibuka kwa ushindi wa 5-0.

 

rashford, Rashford, Saka Waondolewa Timu ya Taifa., Meridianbet

“Marcus Rashford na Bukayo Saka hawata kuwa katika kikosi cha England katika mechi zijazo za kufuzu kombe la dunia 2022,” ilisomeka taarifa hiyo ya FA.

“Rashford alithibitika kuwa na majeraha katika uwanja wa St.Georger’s Park ambayo yalimfanya kukosa mchezo dhidi ya San Marino, na tumekubaliana aendelee na matibabu katika klabu yake ya Manchester United.

“Saka amebaki na Arsenal kwaajili ya uchunguzi zaidi kwaajili ya mambo yake yanayoendelea, lakini kwasasa hatakuwepo katika kikosi cha simba watatu kitakacho kabiliana na Albania na Poland.”


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

rashford, Rashford, Saka Waondolewa Timu ya Taifa., Meridianbet

CHEZA HAPA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa