Kylian Mbappe amekuwa akisua sua kufanya maamuzi ya kusaini mkataba mpya klabuni Paris Saint Germain, akihusishwa na dili la uhamisho kwenda Real Madrid, klabu aliyowahi kuitaja kama ndoto yake ya udogoni.

Nyota huyu amekuwepo kwenye rada ya Real Madrid kwa mda, lakini inaonekana bado wataendelea kuwa windoni tu.

Kulikuwa na habari kuwa Mbappe angeuzwa katika msimu huu wa uhamisho, kwa sababu klabu hiyo inahofia kumpoteza bure au kwa hasara uhamisho ujao.

Taarifa kutoka PSG zinasema kuwa Mbappe atamalizia mda wake uliobakia kwenye mkataba wake PSG klabuni hapo.

Kylian Mbappe to Liverpool

Staa huyu anatambulika kuwa hakuwa na mpango wa kulazimisha kuondoka mapema klabuni hapo, na taarifa zinasema kuwa ameamua kuwa atamaliza mkataba wake bila kuongeza mda klabuni hapo.

Licha ya ukweli kuwa Mbappe bado hashawishiki bado kuongeza mkataba PSG, hii haiwahakikishii Real Madrid kuwa wapo katika nafasi znuri dhidi ya saini yake, loote linaweza kutokea. linaweza kutokea.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa