Kutokana na tetesi zilizoripotiwa na vyombo vya habari hivi karibuni juu ya staa wa Juve Cristiano Ronaldo kuondoka kwenye viunga  hivyo unazidi kuongezeka baada ya wiki hii kuonekana akihamisha magari yake kwenda Ureno.

Katika picha za video zilionyesha magari ya Kifahari ya Ronaldo yakipandishwa kwenye gari maalumu ya usafirishia kwenda jijini Lisbon.
RonaldoVideo hiyo iliyopandishwa kupitia tovuti ya Tuttosport ilionyesha wanaume kadhaa wakifanya kazi gizani kupandisha magari hayo kwenye gari nyingine kubwa kutoka kampuni ya Rado cargo haurage vehicle.

Picha hizo zimeakisi tetesi za hapo awali zilizoeleza mama mzazi wa nyota huyo amekuwa akimshawishi sana mwanawe kurejea Sporting Lisbon kwa ajili ya kumaliza soka lake.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

ronaldo, Ronaldo Aaanza Kufungasha Tayari Kusepa Juve, MeridianbetBASHIRI SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa