Staa wa Juventus na timu ya taifa ya Ureno, Cristano Ronaldo juzi alifunga bao lake la kwanza kwenye mechi za kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwenye mchezo dhidi ya Luxembourg ambapo Ureno ilishinda mabao 3-1.

Bao hilo limemfanya fundi huyo mwenye umri wa miaka 36, kubakiza mabao saba kufikia rekodi yakuwa mfungaji bora wa muda wote kwa timu za taifa.

Hadi sasa, Ronaldo ana mabao 103 ambayo anazidiwa na Ali Daei wa Iran aliyefunga mabao 109 kati ya mwaka 1993 hadi 2006.

 

ronaldo, Ronaldo Apania Kuvunja Rekodi Zaidi., Meridianbet

Katika mchezo huo Luxembourg iliingia kwa kujiamini kutokana na ushindi wa bao 1-0 iliopata katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Republic of Ireland.

Ikafanikiwa kuanza vizuri kwa kuongoza kupitia bao la Gerson Rodrigues dakika ya 30 kabla ya Diogo Jota kusawazisha dakika za nyongeza kwenye kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili Ronaldo alianza na moto hata akafunga bao la pili dakika ya 51 na baadae Joao Palhinha akapigilia msumari wa tatu dakika ya 80.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

ronaldo, Ronaldo Apania Kuvunja Rekodi Zaidi., Meridianbet

CHEZA HAPA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa