Klabu ya Crystal Palace imetangaza kuachana na kocha wake, Roy Hodgson baada ya msimu huu kumalizika.

Akiwa na umri wa miaka 73, Hodgson aliwahi kuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Uingereza na amekuwa na Crystal Palace kwa vipindi kadhaa.

Aliyewahi kuwa kocha wa Chelsea, Frank Lampard anahusishwa na nafasi ya kukinoa kikosi cha Palace kuanzia msimu ujao. Je, endapo Lampard atapatiwa nafasi hii, ataonesha uwezo wake?

Roy Hodgson ataiongoza Palace kwa mara ya mwisho kwenye mchezo wa kumaliza msimu wa EPL dhidi ya Liverpool jumapili hii.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

Roy Hodgson, Roy Hodgson Kuachana na Palace Msimu Huu., MeridianbetBASHIRI SASA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa