Australia Yaendeleza Ushindi Wake Dhidi ya South Afrika

Australia, timu ya taifa ya rugby ya australia inayotambulika ka Wallabies imeendelea kutumumia vyema kiwanja chake cha nyumbani kwa kuifunga timu ya taifa south afrika.

Quade Cooper ambaye alifunga penati ya mwisho iliyowapa ushindi Wallabies nakuendeleza ushindi wao kwenye ardhi ya nyumbani dhidi ya mabingwa wa dunia.

Quade Cooper
Quade Cooper, australia

Cooper, ambaye mara mwisho kuonekana mwaka 2017 dhidi ya Italy katika mechi ya kimataifa mwezi uliopita, Cooper mwenye umri wa miaka 33 aliibuka shujaa kwa kujikusanyia point 23 na kuihakikishia Wallabies ushindi.

Mapema New Zealand waliwachapa Β Argentina na kujihakikishia nafasi ya juu ya msimamo.

TIMU

South Africa:Β le Roux, Nkosi, Am, de Allende, Mapimpi, Pollard, de Klerk, Kitshoff, Mbonambi, Malherbe, Etzebeth, De Jager, Kolisi, Mostert, Vermeulen.

Waliongia: Marx, Nche, Koch, van Staden, Smith, Wiese, H. Jantjies, Willemse.

Australia:Β Banks, Kellaway, Ikitau, Kerevi, Koroibete, Cooper, McDermott, Bell, Fainga’a, Alaalatoa, Rodda, Philip, Swinton, Hooper, Valetini.

Waliongia: Kaitu’u, Slipper, Tupou, Leota, Samu, White, Hodge, Petaia.

Mwamuzi: Luke Pearce (RFU).


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

Β INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe