Bondia Ryan Garcia ambaye amejipatia umaarufu siku za hivi karibuni anampango wa kustaafu mchezo huo wa masumbwi akiwa na umri wa miaka 26 lakini amewashangaza mashabiki wengi ni kwanini ameamua kufanya hivyo.

Ryan Garcia Kustaafu Ndondi Akiwa na Miaka 26

Licha ya kuwa na faida kubwa ya kuwa bondia mkubwa katika uzani wa kati ‘Kingry Ryan (21-0 KO 18) amesema anataka kuhamia katika MMA na kujifunza kufanya hivyo.Ryan anamtaka bingwa wa zamani wa UFC Ben Askren ili aweze kumfundisha kijana huyo kwenye huo mchezo.

Itakuwa safari ndefu kwa Ryan kama atachagua kwenda katika MMA, ukizingatia atakua akipiga kwa kushikana na wapiganaji.

Akiwa na umri wa miaka 26 Ryan Garcia angependa kuanza kujifunza kupigana mchezo huo katika MMA kama wapiganaji wengine wengi wanavyopigana.

Inaweza kuchukua miaka ili aweze kupata mafunzo ya kutosha ili kupigana kwa kushindana katika MMA hata nitofauti ukiringaanisha na pesa aliyokuwa akipata katika ndondi.

“Hey ngoja nikwambie kitu, Ben sijawahi kusema hili hewani, lakini mara nyingi nimekuwa nikisema nitastaafu katika umri wa miaka 26, Watu wote wananiona kama nimechanganyikiwa si ndiyo? Nafanya hivi kuingia kwenye taji la MMA alisema Ryan kwa Ben Askren kupitia Fierce Talk podcast.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Garcia, Ryan Garcia Kustaafu Ndondi Akiwa na Miaka 26, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa