Shirikisho la Soka Afrika Kusini “SAFA” limeitisha mkutano wa dharura wa waandishi wa habari kufuatia kushindwa kwa timu yao ya taifa ya Bafana Bafana kufuzu AFCON 2021 na hapo hapo Wamethibitisha kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo, Molefi Ntseki.

Baada ya kufundisha timu za vijana za taifa, Alikua meneja wa muda wa timu ya taifa ya wakubwa mnamo Agosti 2019. Aliteuliwa kuwa kocha wa kudumu baadaye mwezi huo.

 

safa, SAFA Yamtimua Kocha South Africa., Meridianbet

Bafana Bafana imeshindwa kufuzu siku ya mwisho Baada ya kupokea kichapo Kutoka kwa Sudan Waliofuzu Katika Kundi lao Pamoja na Ghana kushiriki mashindano hayo ya mwaka 2022.

SAFA imejipanga kuchukua maamuzi ya haraka kumtangaza Kocha mpya kuelekea mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2022 ambazo zinaanza Mei 2021 na zitaendelea hadi Novemba 2021 Bafana wamepangwa pamoja na Ghana, Zimbabwe na Ethopia.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

safa, SAFA Yamtimua Kocha South Africa., Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa