Mtanzania Said Khamis Jr anaekipiga katika klabu ya Baniyas ya UAE amefanikiwa kuibuka mfungaji bora wa ligi hiyo kwa kufunga magoli 22 na kutoa pasi za magoli 10 katika mechi 23 alizocheza klabuni hapo.

Idadi ya magoli ilitimia baada ya hapo jana kufunga magoli 2 na assisti moja katika ushindi mnono wa magoli 5-1 waliopata jana. Said Jr amekuwa ni msimu mzuri katika klabu yake ya Baniyas akifanya makubwa na kufanikiwa sana, ni wakati sasa wa timu ya taifa kuangalia uwezekano wa kumtumia straika huyu kwenye kikosi chake.

Hivi juzi tu Khamis Jr alifanikiwa kufunga magoli matano katika mechi moja na katika hizo bao tano kuna Perfect Hatrick imepigwa, limepigwa bao la mguu wa kushoto, limepigwa bao la mguu wa kulia na limepigwa bao la kichwa, Said kwenye form bora kabisa.

Ni hakika kuwa kinda huyo aliye na umri chini ya miaka 21 atafika mbali sana endapo ataendelea kufanya hivi na kujituma zaidi. Yajayo yanafurahisha kwa Said na kwa taifa la Tanzania kwa ujumla!

KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa