Makala mpya

MAYELE ANAIONEA WIVU YANGA
SOKA LA BONGO

Mwandishi na mchambuzi nguli wa soka nchini, Edo Kumwembe, amesema kuwa mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele, anawaonea wivu YANGA. Edo amesema: “Nadhani kuna tabia ambayo Mayele aliificha akiwa …

Soma zaidi
Ali Kamwe Hawachukulii Poa Simba
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Yanga kupitia kwa msemaji wao Ali Kamwe umebainisha kuwa unawatazama wapizani wao Simba kwa utofauti kutokana na uimara walionao hivyo wanawaheshimu kuelekea mchezo wao wa Kariakoo Dabi. Yanga …

Soma zaidi
KARIAKOO DABI IMEINGILIWA NA WAZEE
SOKA LA BONGO

MAMBO yameanza kuwa mengi kuelekea mchezo wa Simba na Yanga Jumamosi hii maarufu kama Kariakoo Dabi Ambapo kila upande Umefanyaa maandalizi ya utofauti. Pande zote mbili, zimeukabidhi mchezo huo Kwa …

Soma zaidi
Mbagala Queens Wababe wa Soka DSM
SOKA LA BONGO

Timu ya wanawake ya Mbagala Queens imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kushinda mabao 3-1 dhidi ya Kinondoni Queens katika mchezo wa fainali uliochezwa …

Soma zaidi
Simba Yakutana, Mipango Yawekwa Kuikabili Yanga
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza ikiwa ni mchezo dhidi ya Yanga. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya …

Soma zaidi
Arsenal Wapokea Kichapo Nyumbani
Daily News

Klabu ya Arsenal imekubali kupokea kichapo cha mabao mawili kwa bila mbele ya klabu ya Aston Villa katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliopigwa leo katika dimba la Emirates. …

Soma zaidi
Bayern Leverkusen Mabingwa Wapya Bundesliga
Bundesliga

Klabu ya Bayern Leverkusen imefanikia kutwaa taji la Bundesliga baada ya kufanikiwa kupata ushindi mnono wa mabao matano kwa bila mbele ya klabu ya Weder Bremen. Bayern Leverkusen wanatwaa ubingwa …

Soma zaidi
Eddie Howe: Hatuna mpango wa Kumuachia Isak
Daily News

Kocha wa klabu ya Newcastle United Eddie Howe ameweka wazi kua hawana mpango wa kumuachia mshambuliaji wao kinara ndani ya timu hiyo Alexender Isak kwenda timu nyingine. Kocha Eddie Howe …

Soma zaidi
Liverpool Yapigwa Tena Nyumbani
Daily News

Klabu ya Liverpool imeendela ilipoishia katikati ya wiki na hiyo ni baada ya kukubali kipigo cha goli moja kwa bila leo katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya …

Soma zaidi
Arda Guler Hataki Kuondoka Madrid
La Liga

Kiungo kinda wa kimataifa wa Uturuki anayekipiga ndani ya klabu ya Real Madrid Arda Guler ameripotiwa kua hana mpango wowote wa kuondoka ndani ya miamba hiyo ya soka nchini Hispania. …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,037 2,038 2,039