Vyombo vya habari nchini Uturuki vinaripoti kuwa Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anaweza kuondoka katika klabu yake ya Fenerbahce baada ya benchi la timu hiyo kutoridhishwa na kiwango chake.

Tangu atue Fenerbahce kwa mkopo akitokea Aston Villa ya Uingereza amefanikiwa kucheza mechi 23 na kufunga magoli 4 tu kwenye ligi kuu ya Uturuki.

 

samatta, Samatta Ahusishwa Kurejea Genk., Meridianbet

KRC Genk ya Ubelgiji imetajwa ndio klabu pekee inayohusishwa na kumhitaji Mbwana Samatta na inataka kumrejesha katika dirisha la usajili mwezi Juni 2021.

Kwasasa, Fenerbahce inashika nafasi ya 3 ikiwa na alama 59 nyuma ya Besiktas wenye alama 64 na Galatassaray alama 61 mtawalia.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

samatta, Samatta Ahusishwa Kurejea Genk., Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa