Jadon Sancho atavaa namba 25 kuelekea msimu wa 2021/2022. Baada ya sintofaham kutokea kuhusu namba atakayevaa nyota huyu mpya wa United, hatimaye imefahamika kuwa atavaa jezi namba 25.

Awali ilisadikikika kuwa nyota huyo angevaa jezi namba 7, ambayo inavaliwa na mkongwe Edinson Cavani atakayesalia mpaka msimu ujao.

Jadon Sancho

Uamuzi wa Sancho kupewa namba 25 unaonesha heshima kubwa aliyepewa legendari Cavani kuelekea msimu ujao na huenda akaonesha maajabu zaidi.

FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa