Je Unajua Kwanini Milan Hawana Chaguo la Kumnunua Joao Felix Kutoka Chelsea?
Joao Felix amejiunga na Milan kwa mkopo kutoka Chelsea siku ya mwisho, lakini Rossoneri hawana chaguo kufanya uhamisho wake kuwa wa kudumu. AC Milan iliwakaribisha wachezaji wanne wapya katika siku …