Wimbo mpya umetolewa uliowekwa maalum kabisa kwa mkali wa Inter Milan, Romelu Lukaku baada ya ushujaa wake na mchango mkubwa katika ushindi wa Scudetto (taji la Serie A).

Wimbo huo maalumu umetayarishwa na msanii Tommy Kuti, akishirikiana na Yves the Male, Wado na Slim Gong, unaitwa Numero 9 (namba 9).

Lukaku Hafikirii Kuhusu Kitau cha Dhahabu

Wimbo unahusu jezi namba 9 na mashairi yakimpa sifa kuwa walinzi wanashindwa kukimbizana naye.

Pia mashairi ya wimbo huu yanamtaja na Zlatan Ibrahimovic juu ya nani ni Mfalme wa Milan.

“Kiongozi amerudi, tu kileleni mwa ligi. Sikumchagua, alitawazwa Mfalme Mpya wa Utawala wa Milano.”

 


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa