Monday, August 1, 2022
Nyumbani Serie A

Serie A

Pogba

Pogba Kukosekana Kombe la Dunia Qatar 2022

0
Nyota wa klabu ya Juventus na mchezaji wa kimataifa Paul Pogba anweza kukosa michezo yote ya kombe la dunia nchini Qatar kutoka na kupata majeraha ya goti ambayo anapaswa kufanyiwa upasuaji. Pogba anatarajia kukutana na mtaalamu kwa ajiri ya ushauri...

Pogba Kuwakosa Barcelona Sababu ya Jeraha

0
Paul Pogba hatosafiri kwenda nchini Marekani kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa Juventus dhidi ya Barcelona siku ya Jumanne huko Las Vegas sababu ya kukabliwa na jeraha la paja. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alijiunga tena na mimba wa...
Napoli

Napoli Yakana Kuuzwa kwa Klabu Hiyo

0
Klabu ya Napoli inayoshiriki ligi kuu ya Italia Serie A imepinga taarifa zilizosambazwa na vyombo vya habari nchini humo kuwa klabu hiyo imeuzwa. Vituo kadhaa vya runinga nchini humo vikiongozwa na kituo cha serikali Rai, vilieleza kuwa klabu hiyo imifikiana...
Roma

Roma wakamilisha Usajiri wa Paulo Dybala

0
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Argentina Amejiunga rasmi na klabu ya Roma kwa uhamisho huru na kusaini kandarasi ya miaka mitatu huku kukiwa na kipengere cha thamani ya €20milion kwa klabu itakayotaka kuvunja mkataba wake. Paulo Dybala kabla ya kusaini...
Zlatan Ibrahimovic

Zlatan Ibrahimovic Kusalia Milan Mpaka 2023

0
Nyota wa klabu ya AC Milan Zlatan Ibrahimovic ameongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kubakia kwenye viunga vya San Sirro hadi mwaka 2023. Zlatan Ibrahimovic ambaye anatimiza miaka 41 mwezi oktoba, amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kubakia kwenye viunga vya...
Dybala Kutua Roma kwa Dili ya Miaka 3

Dybala Kutua Roma kwa Dili ya Miaka 3

0
Paulo Dybala amesaini kusaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Roma baada ya mkataba wa mchezaji huyo na Juventus kufika tamati. Roma wamezibwaga klabu za Inter na Napoli kuinasa saini ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina kwa uhamisho...
Inter Milan

Inter Milan na Kisanga cha Mkataba wa Alexis Sanchez

0
Klabu ya Inter Milan kwa sasa hawana nia ya kuendelea na mchezaji wa kimataifa wa Chile na wanampango wa kutaka kumuondoa kwenye klabu hiyo ili kuweza kupunguza gharama za mshahara lakini Alexis Sanchez hana mpango huo kwa sasa. Sanchez na...
Barcelona

Je Wakumbuka Barcelona na Uhamisho wa Diaz na Vlahovic?

0
Je wajua kuwa klabu ya Barcelona ilishawai kukubaliama na wachezaji Luiz diaz na Vlahovic kabla ya wachezaji hao kuamua kutimkia kwenye vilabu vingine? kulingana na Gerrard Romero, klabu ya Barcelona ilshafanya mkubaliano yote na wachezaji hao, na walikuwa karibu kabisa...
Inter na Vidal Waridhiana Kukatisha Mkataba

Inter na Vidal Waridhiana Kukatisha Mkataba

0
Inter Milan na Arturo Vidal wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu ya hiyo mchezaji huyo wa Chile anakaribia kujiunga na klabu ya Flamengo. Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba Inter wanapaswa kumlipa Vidal kiasi cha euro milioni 4 kusitisha...
Divock Origi

AC Milan Wakamilisha Usajiri wa Divock Origi

0
Mabingwa wa nchini Italia Serie A wamekamilisha usajiri wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji Divock Origi kutoka klabu ya Liverpool kwa uhamisho huru. Divock Origi ameondoka nchini Uingereza baada ya kuishi kwa muda wa miaka nane na akiwa kwenye viunga...

MOST COMMENTED

Mayele Ainogesha Kambi ya Yanga

0
Mara baada ya kujiunga na wenzake kambini Yanga,mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele ameongeza mzuka ndani ya timu hiyo jambo ambalo limeibua shangwe kubwa...

HOT NEWS