Aaron Ramsey Ajiandaa Kurejea Uingereza

Kocha wa klabu ya juventus amefungua milango kwa mchezaji huyo kutoka nchini Wales baada kusema kuwa Aaron Ramsey yuko njiani kuondoka katika klabu hiyo mwezi huu.

Aaron Ramsey hivi karibuni amekuwa akihusishwa na vilabu mbalimbali vya Uingereza ikiwemo klabu yake ya zamani Arsenal, Everton na Newcastle, wakati jana jumanne kulilipotiwa kuwa klabu ya Burnley ilipeleka offa rasmi kwa mchezaji huyo na kukataliwa na Ramsey mwenyewe.

Aaron Ramsey

Taarifa ya kuondoka kwake zimekuwa zikiongezeka mwezi huu baada Allegri kuthibitisha  kwenye mkutano na waandishi wa habari leo jumatano, “Aaron Ramsey amerudi leo baada ya likizo ya kikazi nchini Uingereza, ni mchezaji anayeondoka.”

Aaron Ramsey alijiunga na klabu ya Juventus kwa usajiri huru akitokea klabu ya Arsenal majira ya kiangazi kwa uhamisho huru mwaka 2019  baliki mpaka sasa hajapata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha Juve.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe