AC Milan Wamuongezea Mkataba Stefano Pioli

Klabu ya Ac Milan imemuongezea mkataba kocha wao Stefano Pioli ambapo mkataba mpya utamuweka kwenye dimba la San Siro mpaka mwaka 2023 huku kikiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Stefano Pioli mwenye umri wa miaka 55 alichaguliwakuwa kocha wa timu ya Ac Milan oktoba 2019 baada ya kutimiliwa kazi kocha Marco Giampaolo

Klabu ya Ac milan chini ya Stefano Pioli imecheza michezo 106, na kushinda 59 wakitoa sare 27 na kupoteza 20 tu kwa kipindi chote, klabu ya Ac Milan iko nafasi ya pili kwa sasa kwenye msimamo wa ligi kuu ya Italia, ikiwa imecheza michezo 13 na wakikusanya pointi 32 sawa na kinara wa ligi hiyo Napoli huku wakitofautiana magoli ya kufunga na kufungwa.

kwenye ligi ya mabingwa Milan wanashika nafasi ya tatu wakiwa wamejikusanyia pointi nne tu, kwenye michezo mitano waliocheza huku Liverpool akiongoza kundi kwa pointi kumi na tano na anyemfuatia akiwa na pointi tano pekee.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe