Mlinzi wa klabu ya Juventus Giorgio Chiellini ataelezea hatma yake tena baada ya mchezo wa fainali ya Coppa Italia huku akisema ameshinda makombe 19 ukijumlisha moja ambalo walinyanganywa mwaka 2005-06 baada ya kashfa ya kupanga matokeo.

Nyota huyo wa kimataifa wa Italia anatarajia kuanza kwenye mchezo wa kesho wa fainali ya Coppa Italia dhidi ya Inter Milan. Na ndio nafasi ya mwisho kwa Cheilini kuweza kushinda kombe lake la mwisho kwenye klabu hiyo. myota huyo mpaka sasa ana makombe 19 kwenye klabu hiyo na ikiwa atafanikiwa kushinda kesho litakuwa la 20.

Chiellini
Chiellini

“Hakika, lingekuwa la 21, kuna ushindani, kwanini tusijihamasishe na kumbukumbu za nyuma.” Cheilini alisema kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye dimba la Stadio Olimpico.

“Mkataba wa Cheilini na klabu ya Juventus unaisha mwaka 2023, lakini yeye anatarajia kuondoka baada ya msimu huu kuisha. Na amesema kuwa kesho ndio atatangaza hatma yake  na kuongea na o Andrea Agnelli baada ya mchezo kuisha.

“Nilitaka kusubiri fainali. nilijikitaka kwenye soka kulingana na uwepo wa baadhi ya mambo ya kuyafikia. Ningeweza kustaafu siku ambayo tulichukua ubingwa wa EURO.nisingeweza kuwepo hapa goli kama VAR lisingeweza kulikataa goli dhidi ya Austria.

“Tunakumbukumbu nzuri kwenye kiwanja hiki. najisikia furaha. ni mtulivu na niko tayari kwa ajiri  ya mchezo wa kesho.” alisema Chiellini


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa