Chiesa Nje Ya Uwanja Mpaka Msimu Ujao.

Habari mbaya kwa mashabiki na wachezaji wa Juventus, Federico Chiesa kukosekana uwanjani kwa muda wote uliosalia msimu huu.

Chiesa anakosekana uwanjani baada ya kupata majeraha kwenye mchezo dhidi ya AS Roma jana usiku. Kuumia kwa Federico, kunalazimu kumfanyia upasuaji mchezaji huyo ambae sasa ni rasmi, msimu huu kwa upande wake umetamatika.

Hii ni habari mbaya kwa Juventus ambayo inataabika kupata matokeo msimu wakati huu ambayo inashikilia nafasi ya 5 kwenye msimamo wa Serie A.

Pamoja na Juventus, Timu ya Taifa ya Italia pia inapata pigo kwa kumkosa mchezaji huyu. Ikumbukwe kuwa, Italia bado hawajafuzu kucheza Kombe la Dunia mwaka huu na hivyo, wanamichezo ya kuwavusha hatua ya mtoano (dhidi ya North Macedonia pamoja na uwezekano wa fainali dhidi ya Ureno au Uturuki).


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe