Mshambulia nyota wa klabu ya Juventus  Dusan Vlahovic ameachwa lkwenye kikosi cha timu ya taifa ya serbia kwa michezo ya UEFA Nations League, lakini kuwa wachezaji nane wanachezea ligi kuu ya Serie A kwenye kikosi cha timu ya Serbia.

Serbia wanajianda kukutana na  Norway, Sloveni na Sweden kwenye michezo miwili ya nyumbani na Ugenini kwenye mashindano ya UEFA Nations League mwezi ujao.

Dusan Vlahovic
Dusan Vlahovic

Dusan Vlahovic amekuwa kwenye kikosi cha wachezaji 34, lakini ameondolewa kwenye listi ya majina ya wachezaji ya mwisho, huku kuiwa na taarifa kuwa majeruhi ndio chanzo cha yeye kuondolewa kwenye kikosi hicho.

Dusan Vlahovic amefanikiwa kufunga magoli 24 kwenye michezo 36 ya Serie A kati ya Fiorentina na Juventus ambazo amechezea kwenye msimu huu, pamoja na magoli matano kwenye michezo tisa ya mashindono ya Coppa Italia na Ligi ya mabingwa Ulaya.

Japokuwa kiwango chake kieshuka kwenye michezo ya mwisho, ambapo amefanikwa kufunga goli moja tu kwenye michezo mitano ya Serie A iliyopita.

Lakini bado kuna wachezaji nane kutoka ligi kuu ya Italia ambao wameitwa kwenye kikosi cha Serbia kwa ajiri ya michezo ya kimataifa wachezaji hao ni, Milinkovic-Savic, Sergej Vanja, Matija Nastasic, Aleksa Terzic, Filip Djuricic, Ivan Ilic, Darko Lazovic na Sasa Lukic.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa