Dybala Kukosa Mechi Muhimu za Juventus

Paulo Dybala atazikosa mechi muhimu za Juventus za mwezi Januari dhidi ya Inter na Napoli, huku kukiwa na changamoto za kupata mbadala wake kutoka kikosi cha vijana wa U23 kwa sababu kikosi sasa kiko karantini baada ya visa vitatu za maambuzizi ya virusi vya corona.

Dybala alipata jeraha la goti kwenye mechi dhidi ya Sassuolo Jumapili, na taarifa ya kitabibu inaonekana bado ana shida kidogo kumkwamisha kuingia dimbani.

Staa huyu wa Argentina anatarajiwa kuwa atakuwa nje ya dimba kwa takribani siku 15 hadi 20, ikiwa inamaanisha kuwa nyota huyu atalazimika kuzikosa mechi dhidi ya Inter na Napoli.

Juventus wanasafiri kwenda Giuseppe Meazza kwenye mechi dhidi ya Nerazurri, wakati watakutana na Napoli pale Reggio Emilia dimba la Mapei Stadium kwenye mechi ya fainali ya Italian Supercup Januari 20.

Dybala ataendelea kuuguza jeraha lake na kwa mujibu wa taarifa za kitabibu anaweza kuanza kurejea hali yake taratibu angalau baada ya siku kumi na tano.


 

JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

17 Komentara

    Duh pole yake

    Jibu

    Aisee pole sana

    Jibu

    Pole Dyabala.

    Jibu

    Pengo kubwa sana

    Jibu

    Pole sana Dyabala

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Sorry for you

    Jibu

    Pole yake dyabala

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Majeraha yanamtesa sana Dybala

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    pole yake

    Jibu

Acha ujumbe