Jose Mourinho Ampoteza Joao Sacramento

kocha wa klabu ya AS Roma Jose Mourinho amempoteza msaidizi wake muhimu Joao Sacramento, ambaye alikuwa akimsaidia majukumu yake ya kazi takoea akiwa klabu ya Tottenham hadi katika klabu aliyopo sasa AS roma

Roma wanakutana na Milan siku mbili zijazo, lakini Sacramento ameatangaza kuondoka kuachana na klabu hiyo, pia João amekuwa na Mourinho kwa miaka miwili kwenye klabu ya Tottenham na Roma.

Jose Mourinho

2021 tnimemaliza miaka miwili na Jose Mourinho, kufanya kazi na wewe ilikuwa ndoto yangu,ninajivunia hilo na nitakushukuru, nakutakia maisha mema

Joao Sacramento

Mkataba wa João ulikuwa unaisha mwala 2024 lakini ameamua kuvunja ili aweze kufanya kazi kama kocha, huku kukiwa na offa kutoka katika nchi Ufaransa na Ureno, nafasi ya Sacramento imechukuliwa na Salvatori Foti.

Jose Mourinho anapambana kuweza kurudisha makali yake kwenye timu ya Roma ambapo kwa sasa anashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi ya Serie A huku akiwa nyuma ya point sita dhidi ya anayeshika nafasi ya nne huku akiwa ameachwa  pointi 14 dhidi ya kinara anayeongoza ligi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe